Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Sema kweli jirani yanguJirani leo unanifurahisha sana eti[emoji6][emoji6][emoji23]
Sema kweli jirani yanguJirani leo unanifurahisha sana eti[emoji6][emoji6][emoji23]
Hapo sipo nyumbani ujueHivi dada ako akukuambia kama naweza kazi ya garden vizuri tu
Hata sisi tunamsalimia
Hahahaha, umefurahi eeh ,weka moja ya mwisho ,nilale kwetu giza porini huku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afande wa kikos gan?Sawa afande
Cha zima moto afandeAfande wa kikos gan?
Acha turudie rudie tuView attachment 1254901
Ngoja wenye baka baka zao wakukamateHizi ndo zetuView attachment 1254910
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimeiba picha ya watu mimi hata siwajuiHivi wewe ndiyo yupi hapo?? Ninong'oneze basi dada!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sina bwanaHahahaha, umefurahi eeh ,weka moja ya mwisho ,nilale kwetu giza porini huku
Soon hapoUkujeee
Ongea taratibu basi bibie sauti yote hiyo unataka watu wapita hapa waone nilivyofurushi
Mimi nimesema nilikuwa na company pia na urafiki na hao wadada sijaelezea huko kwenye hio sekta Mimi .nilichaachaga hayo
Kazia hapo hapo...Ikishindikana kabisa jirani niambieUsijisumbue bwana ebu tuma picha uliyofuta
Hahahaha, picha yako ile dawa tosha kwanguEeenh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na dawa umeshapata
Imeshindikana jirani ebu fanya msaada wakoKazia hapo hapo...Ikishindikana kabisa jirani niambie
Ulikua unaumwa nini kwani we mzeeHahahaha, picha yako ile dawa tosha kwangu
Mie na wewe Jirani ni ukweli tu uongo mwikoSema kweli jirani yangu