Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23]vinajichosha sana,vinatumika sana kitoto cha miaka 19 utasema kinamiaka 39
Wengine ni maumbile tu jamani,,


Kuna uzi humu jana nimesoma, baba mtu kaja kutafuta ushauri binti yake wa miaka 12 ana maziwa yameshakuwa saa 9 jioni. Akamtuma mama na shangazi wa mtoto wafatilie kama mtoto ameshaanza hiyo michezo… majibu yamerudi mtoto hajaanza…

Sasa kaja omba ushauri amsaidie vp binti yake maana mtoto ana ziwa balaa.
 
Hujambo jirani...wengine maumbile yao yanawatangulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…