[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa watawazq hayo wakishaachana na mambo ya boom.Ndo utoto huo wakikua wataacha,
Kama nilivyo mie siwezi ringishia eti na date na babe ana biashara,kazi,pesa,gari na majumba wakati hazinihusu,
Unaringisha na haujawahi ulizwa idea yako ya biashara ni ipi?? na upewe pesa ngapi uanzishe business[emoji23][emoji23]
Unaishia kutembelea matako na kuulizwa utatakula chipsi kuku au??
Tangu first year, mie id yangu iko mfukoni tu,, nshapoteza mara 2,, kuliko kuvaa shingoni kama li mbuzi lililopotea bora ipotee huko mfukoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan nawee usivae khaaah
YeepWacha wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekata lichupa lizima la mvinyo leo. Ngoja tu nikalale.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babu umechachuka leo, umekula nn?
Bhas imetoshaYes dia niko good, za weekend??
[emoji1787] haya tumeacha.Bhas imetosha
Hizo dia
Mimi nina moyo wa nyama
ID yangu nikifika mawasiliano naiweka kwa mkobaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tangu first year, mie id yangu iko mfukoni tu,, nshapoteza mara 2,, kuliko kuvaa shingoni kama li mbuzi lililopotea bora ipotee huko mfukoni
[emoji23][emoji23]vinajichosha sana,vinatumika sana kitoto cha miaka 19 utasema kinamiaka 39[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa watawazq hayo wakishaachana na mambo ya boom.
Ahsanteeee babuuuuh, ishaallah 1St class itapatikana.Nimekata lichupa lizima la mvinyo leo. Ngoja tu nikalale.
Kila la heri kwenye mitihani yako mjukuu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Id sivai shingoniID yangu nikifika mawasiliano naiweka kwa mkobaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama nakuona[emoji1787]Purukushan zote zote tu.
Shangaa wee mlongo uwiiiih. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vinajichosha sana,vinatumika sana kitoto cha miaka 19 utasema kinamiaka 39
Wee kwan? Uvaage bhanaId sivai shingoni
Hakika ni chuo Bora TanzaniaUD ndo Harvard yetu ...
First year avae ID na mimi legend nivae,, ahhhh wapiWee kwan? Uvaage bhana
tangu nipo O level, ndoto yangu kuja kusoma UD, na nimetimiza.Ooh vyema .. umefanikisha ndoto yako
Huwa ni tamanio la wengi ...
Kipindi hiko kama hujitambui utatumika mno ukija shtuka ushajizeekea wanakubwaga wanachukua vyuma vipya.[emoji23][emoji23]vinajichosha sana,vinatumika sana kitoto cha miaka 19 utasema kinamiaka 39
[emoji724]Shangaa wee mlongo uwiiiih. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asavali[emoji1787] haya tumeacha.