CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,065
- 7,651
Sema simjui jina wala course yake,, ila yupo mmoja wa kike alitaka kujiua, kisa mwambaCoet sio class letu lakini utalizwaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila UD jomoneeeeh uwiiiih.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] UD ya moto jomonee khaaah.Nshawapanga watu kwamba oi kama hutaki magonjwa ya moyo nenda zako TIA, NIT, KIU, au kairuki huko, hivi vijukuu vya anangisye hamviwezi
Mapenzi ni nyokooooooh mate. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema simjui jina wala course yake,, ila yupo mmoja wa kike alitaka kujiua, kisa mwamba
Mshaanza ujambazi,,, aaaah sasa hv ni route hadi uhasibu,, kwanza kuna pisi za kwenda kuliko UDCoet sio class letu lakini utalizwaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila UD jomoneeeeh uwiiiih.
Mnoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namiss maisha ya skuli na vimbwanga vyake.
Dogo mzima?Sema simjui jina wala course yake,, ila yupo mmoja wa kike alitaka kujiua, kisa mwamba
Shangazi baki bhanaa, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Waungana niwatakie usiku mwema
Wenye ibada mjitahidi kuwahi Misa ya kwanza mkasali
Goodnight
Hayo magari yanawasaidia nini??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dents wa UD unawajua? Wanakuambia kudate na mtu hana gari ni matumizi mabaya ya mahusiano
Dah shida hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dents wa UD unawajua? Wanakuambia kudate na mtu hana gari ni matumizi mabaya ya mahusiano
Pigo za watoto wa collage,, wakulungwa kama sie gari ni lako na halihusiani na mapenzi yetuNyingine hazina SU or STK zina namba za kawaida na mnaingia mkemge…
Mkipigwa tako tatu mnalalamikaWanashindana na walipotoka. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanataka kurudi kwao.
Wameyaanza chuo acha yawaendeshe,, cukua popcorn utulie uangalie pichaMapenzi ni nyokooooooh mate. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wasichomeke na juaHayo magari yanawasaidia nini??
Toka hapa Hakuna chuo kuna warembo km UD, ila kiboko IFM mweeh sio wakaka wala wadada wote ni pisi za kwendaMshaanza ujambazi,,, aaaah sasa hv ni route hadi uhasibu,, kwanza kuna pisi za kwenda kuliko UD
Hello dear,,i am doin alright, how are you,,?Dogo mzima?
Acha kabisaa yaan. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah shida hapo [emoji23]
Hunisomi how?
Tunataka kupumuliwa na kuhemewa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkipigwa tako tatu mnalalamika
Kanichafua
Likichezwa sakayonsa mnanung'unika
Mnashindana na mlipotoka
Hivi mnatakaje[emoji848]
Tunataka aste astee… uwe nusu ya hivyo ulivyoandikaMkipigwa tako tatu mnalalamika
Kanichafua
Likichezwa sakayonsa mnanung'unika
Mnashindana na mlipotoka
Hivi mnatakaje[emoji848]