Selfika na JF: Snap it. Show it

Sizitaki vocha mie, hujui JF watu wanasema mie nahongwa vocha za buku, tena nazikimbilia balaa, mniache na umaskini wangu,

Sitakiiiiiiiiiiiiiiiih.
Weee kumbe!! Jf hujawazoea tu shos angu!!!
Achana nao mamaa mie Naomba kama kawaaa sijareeeee wala nene na venye nimefulia hapa! ningepatamo kavocha ka 5000 mambo safi kabisa!🤔🤔!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…