Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Ringa mama ringaaaa na kiuno chako bila mfupa
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Ringa mama ringaaaa na kiuno chako bila mfupa
Weeeeeh [emoji8][emoji8][emoji8][emoji126]View attachment 1254839
Hahahaha, mie ndio wa mwanzo mwanzoYangu mbona nshaitupia... Bado yakwako tu
Kwani lote hilo lako mama? Nigawie jamani[emoji7][emoji7][emoji7][emoji126]View attachment 1254839
Hadi kiama.Kwamba auntie na wewe unabisha [emoji1787]
Sijaziona, ni tag basiZangu zimekaa sana humu
Nikasafishe macho mkwe, nami nipandepo hata kandege[emoji134]America ukafanye nini mom in law ?
Sasa auntie mpaka wewe ukibisha nitakuwa mgeni wa nani mimi [emoji134][emoji134]Hadi kiama.
Too far to wait mkweeeWiki ijayo.
Kabla hujafuta hii gauni nimeipenda mno hapo kifuani iko vipi fashion yake[emoji126]View attachment 1254839
Snap it show it [emoji23]
Sasa huyu ndio wewe au?
Fanya fanya hapo utupiemo tena[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Akikugawia auntie usinisahau na mimiKwani lote hilo lako mama? Nigawie jamani[emoji7][emoji7][emoji7]
HahahahaWeka boss wangu
Mimi ukiona nimetupia picha yangu humu sio akili yangu inakuwa nguvu ya heineken ujueFanya fanya hapo utupiemo tena
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]