Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,974
Mbona juzi nilivyotupia ulikuwepoNakuwa kwenye shughuli za watu shem
Mbona juzi nilivyotupia ulikuwepoNakuwa kwenye shughuli za watu shem
Seeing is believing....mpk nijionee mwenyewe ndio nitaamini
Ngozi nyeupe modo kama hizi nilipata kuwa na company nazo huko pattaya
Nikija bongo naomba niandalie kikopo kimojaNdo natumia
HatufahamianiKwani hatufahamiani cha utamu ?
Halafu baadae unashangaa bi mkubwa kushindia kiporo na nyanya mbichiDah... Umerudi tena View attachment 1254813
Nakataa
Ila na wewe umebarikiwaaaaShem huyo binti mrembo aisee ningekuwa hivyo Sakayo angenikoma
Ooooh niliotea siku ile tuMbona juzi nilivyotupia ulikuwepo
Basi huu ndio wakati wa kufahamiana cha utamuHatufahamiani
Dah sawa tuuu...Hapana kaka shemeji, wewe unatakiwa kuona neema za mdogo wangu tu.
nimeona comments zenu View attachment 1254778
KIREKA, KIRA (UGANDA): Kiongozi wa zamani wa FDC, Dkt. Kizza Besigye ameanguka toka kwenye dari la gari lake baada ya Polisi kummwagia maji kwa kutumia gari wakimtaka atii amri yao kuondoka




What if ni yeye kweli?
Hapana auntie.Ebu niambie basi auntie kama za whatsaap wakigoogle wanaweza zipata
Maana ninazotuma huku na whatsaap natupia
Sawa, weka nami nitaweka mama.Tulizishane mrembo niweke yangu nawe yako
Wewe ni afande etiii
Furushi habari za jioni.We unawaita ndugu zangu humu mafurushi ngoja nivizie picha yako hapa
Ukute una mwili kama kiroba halafu unatuita mafurushi