Mie teinnnaaaaaaaππβ₯οΈNakuaminia [emoji482][emoji482][emoji482][emoji482]
Mie naenda kwa museven shos!!Noumaaaaaah sanaaaa shougaaa angu, hebu huko nidokezee kule mbna km nataka kuunga dots?? Guess??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha weee kawasalimie huko, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Mie naenda kwa museven shos!!
[emoji178][emoji178][emoji178][emoji178][emoji178][emoji178]Mie teinnnaaaaaaa[emoji8][emoji8][emoji3531]
Pamoja sana shos akee!!Wacha weee kawasalimie huko, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Tuko hapa tunapumulia mashine mamaaa tukomesheee tukomesheee!!!Haswaaaa
Mkae kwa kutulia
Tenaaaa mjishikilieππππ
Hatareeeeeeeh sanaaaaa!!!Hahaha
Nilikuwa nimeenda kutembea kidogo
Hapa nilikuwa ndo nasepaa
Haaahaa,nilikuwa napata kamuda ka kutembea nchi za watu[emoji16]
Tunatetemekajeee mamaaaaaπππππ€©π€©π€© uko hoooottt fire π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯Hahaha
Nilikuwa nimeenda kutembea kidogo
Hapa nilikuwa ndo nasepaa
Haaahaa,nilikuwa napata kamuda ka kutembea nchi za watuπ
Mwenyewe nina muda sijavaa Kitambaa, ila Kuna wakati mazingira yanalazimisha.Iko poa sana dahh mm Mara ya mwisho kuvaa surual ya kitambaa sijui lini
Kuna siku bi mkubwa wangu alinunulia shati la kinigeira lina rangi rangi kama batiki yani alikuta nimempa x wangu kavaa afu tunaingia home tu nilikimbizwa na mwiko sitasahau
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Asante mamy!Raba tamuππππ
Thanks Mjukuu, Bibi yako atafurahi kusikia salamu zako, Kwa maana ni kitambo hujaja Kijijini kumsalimia π€ͺπ€ͺSafe flight babu,, salimia bibi π₯
Weeee noumaa sana mamaaaa.. sio mtu wa kawaida kabisa tina!! Mutu ya kutembea hewani kwa hewaaaaπππππHahaha
Nilikuwa nimeenda kutembea kidogo
Hapa nilikuwa ndo nasepaa
Haaahaa,nilikuwa napata kamuda ka kutembea nchi za watuπ
Jamani Mjukuu, Jana ndiyo ilikuwa tarehe yangu kwenda Kliniki ya macho. Leo ndiyo narudi Kijijini.Mutu ya kutembea hewani tyu!! In coca's voice
HahaaaaWeeee noumaa sana mamaaaa.. sio mtu wa kawaida kabisa tina!! Mutu ya kutembea hewani kwa hewaaaaπππππ
ππππjmnBabu Grahams na Christine1 watu wa hewani tu shikamooni πππππ!!
Let me check my schedule babu akee anytime soon!!Jamani Mjukuu, Jana ndiyo ilikuwa tarehe yangu kwenda Kliniki ya macho. Leo ndiyo narudi Kijijini.
Utakuja lini kumsalimia Bibi yako, she has real missed you π
Isingekuwa suala la kuhudhuria Kliniki sidhani kama Wajukuu wangenikweleza Pipa π€ͺπππBabu Grahams na Christine1 watu wa hewani tu shikamooni πππππ!!
Useme mapema, Kwa maana Mimi na Bibi yako tunakaribia kurudi shambani kwaajili ya maandalizi ya kilimo Cha kiangazi π€ͺπLet me check my schedule babu akee anytime soon!!
Aendeleee tu kupokea za juu juu, maana dalili za kuja ndizo hazipo πThanks Mjukuu, Bibi yako atafurahi kusikia salamu zako, Kwa maana ni kitambo hujaja Kijijini kumsalimia π€ͺπ€ͺ