Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,557
Hiyo kwa mbali Kama wanifahamu vile..Mnafanana kwa mbali hata hivyo
Unaweza kuta ndio shunie..


wala sio mimi niwe mzuri hivyo niringeeeNitajuaje?Kama ni yeye kweli, huoni kuwa utakuwa umemkosea?
Oooh. Ni picha duka hiyo mkuuThe car behind you boss
Karoho kananiuma sijaona picha yako best.




Hahahha auntie uko mitandaoni sipogo kabisa zaidi ya whatsaap au za whatsaap pia wakigoogle wanapata
Na hakikisha picha unayorusha humu haujaitupia huko mitandaoni maana hawachelewi kuja kukumwaga mwaaaaa!!


Sanaaa 😍Mzuri mnooo jamani






mambo sio mamboSio mimi kaka nimetoa huko instragram😁😁😁
Hahahha auntie uko mitandaoni sipogo kabisa zaidi ya whatsaap au za whatsaap pia wakigoogle wanapata![]()




Fukua fukua.Utadanganya ila sio watu woteView attachment 1254800
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
😆😆😆😆wala sio mimi niwe mzuri hivyo niringeee
Tulizishane mrembo niweke yangu nawe yako
Hata mimi sijaona yako, kwahiyo ni mutual feelings.
Hahahha auntie uko mitandaoni sipogo kabisa zaidi ya whatsaap au za whatsaap pia wakigoogle wanapata![]()
Poa poa mkuuOooh. Ni picha duka hiyo mkuu
Everybody sayNiendelee au niishie hapa...View attachment 1254802View attachment 1254803
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app






