Swadakta. Hata hapo uki google how to hack php site, utakuna nazo kibao mbinu. Na inakuja novice wengi wanaanza na php, wanakuwa hawazingatii miiko ya development hasa kwa php. Copy sana code bila kujua why kaweka hiki hapa na why kaondoa kila pale.. mtu anatumia coee bila kujua, unakuta kwenye funtion ku turn on mala off baadhi ya function na hajui kwanini kafanya hivyo, pia unakuta mazingira aliyo develop ndio hayo hayo anaenda pandishia mzigo bila ku secure environment .. But kwangu PHP ni lugha nzuri sana ila inakuhitaji kuwa matured enough kuitendea hakiNimekusoma vyema mkuu.
Kumbe shida imeandamwa na society ya hackers, na wana support kubwa na tools.
hivyo kutengeneza mfumo from scatch inahitaji uwe makini, na hapo ndipo mnaingia wazee wa penetration..
Sasa x wako hunijui jaman [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Mkiwa mnabadili majina muwe mnasema [emoji23][emoji23]
Huyo kila chapter ina challenge na ndio uta enjoy hicho kitabu , unasoma una practise . nilikipenda sana kilinipika sanaaa..Thanks a lot, elimu ni pana sana, kwa sababu napenda hizi mambo ngoja nipitie baadae, nikikaa nisome page 100 per day namaliza.
Nitakupa mrejesho.
Aunt za asubuhi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtombane sana, pesa inaingia kwa wingi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2277303
Ni kweli, inabidi uwe na uelewa wa kila kilichoandikwa, hata kama ni scipt ume copy.Swadakta. Hata hapo uki google how to hack php site, utakuna nazo kibao mbinu. Na inakuja novice wengi wanaanza na php, wanakuwa hawazingatii miiko ya development hasa kwa php. Copy sana code bila kujua why kaweka hiki hapa na why kaondoa kila pale.. mtu anatumia coee bila kujua, unakuta kwenye funtion ku turn on mala off baadhi ya function na hajui kwanini kafanya hivyo, pia unakuta mazingira aliyo develop ndio hayo hayo anaenda pandishia mzigo bila ku secure environment .. But kwangu PHP ni lugha nzuri sana ila inakuhitaji kuwa matured enough kuitendea haki
Aunt za asubuhi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weee ubambie ili iweje, huko ni kumkaribisha shetaniKubambia inaruhusiwa ila ile kipendwaa tuu πππ.. maama
But mbeleni hapo nataka nianze ku dig sana mambo ya reverse engineering pamoja na Forensics .. hii computer forensics nilikuwaga mbali sana, na nimeisha fanyia kazi practical sehemu ni raha bwanaa ππ.. sema na umri umeenda haya madude uyasome alafu upate kazi Jeshi la polisi achana na kwingine huko kote.. upate ndani ya jeshi la Polisi idara ya DCI.. aah. kuna practical kibao za kufanya kuleNdio wale ethical hackers.
Hata wale ni hao hao tu ππ
Shetani unamjua wewe πππWeee ubambie ili iweje, huko ni kumkaribisha shetani
Nimeongeza kwenye list, ngoja nije nifurahishe watu, Thanks mkuu.Huyo kila chapter ina challenge na ndio uta enjoy hicho kitabu , unasoma una practise . nilikipenda sana kilinipika sanaaa..
ila pia waweza anzia hiki kucheza na metasploit.. View attachment 2277333
Nipo dada Sana tu wew ndo adimu humu ndaniSophy za kupotea??
Penetration testing tupo aina mbili na zinafanyika kwa aina mbili.. ndani ya organizatuon hii mnawajua hata wanao fanya, alafu kuna ya nje ya organization hii hamjui watao ifanya, lengo ninkujirisha kama mfumo upo salama, kawa wa ndani wakishindwa na wa nje wakishindwa mpo safe kama wakitoboa mnazidi ku improve.. hii kitu muhimu sana kwenye mifumo yote na kwa namna ingine inasaidia hata kufanya system auditingNi kweli, inabidi uwe na uelewa wa kila kilichoandikwa, hata kama ni scipt ume copy.
Haya mambo ni hatari mkuu, kwa maana hata kampuni kubwa watu wana hack, nie wazee wa penetration muhimu sana.
Nipo mamaa majukumu tu tananibana!!Nipo dada Sana tu wew ndo adimu humu ndani
Nasubiri utu bless hapa wajomba zako ππUmekuwaje mjomba lakini???!!!
Safi sana, hii computer forensics inakuwaje?But mbeleni hapo nataka nianze ku dig sana mambo ya reverse engineering pamoja na Forensics .. hii computer forensics nilikuwaga mbali sana, na nimeisha fanyia kazi practical sehemu ni raha bwanaa ππ.. sema na umri umeenda haya madude uyasome alafu upate kazi Jeshi la polisi achana na kwingine huko kote.. upate ndani ya jeshi la Polisi idara ya DCI.. aah. kuna practical kibao za kufanya kule
Eti jamani πππππ
Pole nibariki mdogowako Mambo yaende poa leoNipo mamaa majukumu tu tananibana!!
Genetic alikuwa X lini?Sasa x wako hunijui jaman [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
πππ Unanikumbusha mwaka 2015 au 2016 nilibeba database nzima ya taasisi flani, yani taasisi yote ikawa kiganjani hadi mishahara yao madeni .. kila kitu cha kiofisi.. nikawa nawazoom tu wanao vimba mle..Nimeongeza kwenye list, ngoja nije nifurahishe watu, Thanks mkuu.