myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
Kesho utapona, nakuombea hapa jirani
Jirani wa jf habariπSalama kabisa..
Salama jirani, za usiku..Jirani wa jf habariπ
Njema sana.Salama jirani, za usiku..
Babuuuuh nimetamani hayo mahindi wallah. Ooohhhpppsss.Hebu njoo tule mahindi ya kuchemsha huku mjukuu achana na vikombe vyedi havitakufikisha po pote
View attachment 2276914
Mdada mzuri,Inspo[emoji3059][emoji3059]View attachment 2276915
Usiku huu niko pwani ya mashariki ya kijiji chetu Tz.Njema sana.
Usiku huu uko jirani na nani zaidi?
Ulisema unazunguka kama dunia ikizunguka jua...nawe unaizunguka jfπ
Sawa, utakuwa tu mkubwa kama mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Simama tumsifu Bwana wa Majeshi.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Haswa japo sijamjulisha,..Kwa hiyo ni jirani wa cocastic leo?
Toa taarifa tafadhaliHaswa japo sijamjulisha,..
Mama la mama shalomπ€ΌSijambo jirani, za wewe?
ππ Sawa jirani, nilikuwa kimya asubihi tu nahamia kanda ya kati..Toa taarifa tafadhali
Kanda ya kati tunaye nani?ππ Sawa jirani, nilikuwa kimya asubihi tu nahamia kanda ya kati..
Kama wewe jirani, kama sisi.ππSawa, utakuwa tu mkubwa kama mimi
Wapo wengi, si vyema kuwataja...kwa sisi wapitaji ni salam tu hapahapa..Kanda ya kati tunaye nani?
Umekubali kushindwa π€ͺAisee....sawa
π π πWapo wengi, si vyema kuwataja...kwa sisi wapitaji ni salam tu hapahapa..
Nimekushtukia unaweza kuwa fisi mla kimyax2ππWapo wengi, si vyema kuwataja...kwa sisi wapitaji ni salam tu hapahapa..
Wewe Mjukuu huchelewi kusema hicho Kinywaji ni Ulanzi wa kutoka Songea π€ͺNimependa sijui glass sijui kikombe, kipo vyedi.