Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,579
- 235,432
Kuna hadi maandazi ya nyama!??Hii ni andazi la nyama
My favorite
Halafu recipe sio ngumu .. siku niijaribu kuipika hii
Mambo yako nakuachia mwenyewe๐๐๐ niachie mambo yangu
EwaaaaaMambo yako nakuachia mwenyewe
Cc: mwafulani
Vizuri sana kujispoil mwenyeweKweli kabisa
Watu wanabuni eeh kila siku vipyaKuna hadi maandazi ya nyama!??
Dunia inakimbia hii[emoji23]
Sato unataka kufuga kuku niwe mgeni wako [emoji23][emoji23][emoji23]Dogo wewe ni daktari wa kuku?
Naona misamiati kadhaa hapo kwenye pc,kuku,kideri,karoti,mafia na mingine mingi
Maneno huumba![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Amin..
Tumediscuss juzi kati kuhusu sindano,,kumbe naenda kuzizoa[emoji1787]
Hakuna kitu rahis maisha haya pambna tuNiko poa ssna tunakimbizana na abiria..Kazi ya ukondakta ngumu sn
Hamna kitu humu๐ ๐ ๐ kwamba ushafanya โTrial and Errorโ?
Mnataka nisemaje sasa au mpaka niandikie uziNilimuuliza hili swali akala kona [emoji2]
Na wakanichoma manesi wa kike niliokuwa nawataka๐Maneno huumba![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nataka nifuge my dearSato unataka kufuga kuku niwe mgeni wako [emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli aseeHakuna kitu rahis maisha haya pambna tu
Samahani, haturudiiMnataka nisemaje sasa au mpaka niandikie uzi
Hongera SanaNataka nifuge my dear
๐ค ๐ผ ๐ถ
Wise man said, "Follow the stars
There you shall find a piece of advice"
If you hate your enemies, enemies shine
If you're not a friend of me, enter the light
Coz you can never kill my vibe
Got here with no sacrifices
Everythin' once taken, still had to make it
Vibe killer, me I no go take shit ๐ฉ