Inanukia. Vizuri.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu kwann wanaipenda wengi? Hata X wangu pia alikua nayooo.
Wasipo achana mniite tembo 😄😄Mtaachana tu
Nimekaa palee
Tena wewe utambeba Evelyn SaltAka me siendi...utaenda peke yako
Mie jana nimepanda kalift ka brevis,, nikamkumbuka yule mukaka 🙃Nilipoiona hii perfume ghafla mno nikamkumbuka dear Ex🫡
View attachment 2276359
[emoji404][emoji404]Inanukia. Vizuri.
Huyo ex wako unampango wa kurudiana nae?
Aise Napenda mwamba anaenukia.pua yangu iko vizuri mno kupick smells.hata tukiachana harufu haiwezi isha
Chapati zinavutia sn..Wewe ndy mpishi?Asubuh imepita hivo
Aunt cocastic
View attachment 2276318View attachment 2276319View attachment 2276320
Umeona bonge la crew...yaani zitapigwa story huko motoni hadi shetani mwenyewe atakaribia meza yetu asikie kimasikhara zetu[emoji1787][emoji1787] haina noma, hii crew tutapeana kampan moton huko huko
Wasiliana watu wa Orflame ni products zao.Inacost kiasi gn hii madam
..Inanukia. Vizuri.
Huyo ex wako unampango wa kurudiana nae?
Aise Napenda mwamba anaenukia.pua yangu iko vizuri mno kupick smells.hata tukiachana harufu haiwezi isha
Pepsi 🔥 dare for more…Tafuta pepsi baridiii achana na hii kitu
Ananukia brevis perfume/brevis car😂😂Mie jana nimepanda kalift ka brevis,, nikamkumbuka yule mukaka 🙃
Nikakumbuka mpaka nickname nilipewa na mashost 🤣🤣🤣😂😂
Mtakuja kufa midomo wazi
Karibu kwenye msafara wa mamba wee ukiwa kma kenge🤣🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kipenziii kwann umeulizaaa? Nilikosea sana si unajua utoto tena nilileta penzi la kiselaa, afu hatukuachana vizuri, nilitibua mnoo, daah ukubwa huu ndo najua nilikua nipo wrong.Inanukia. Vizuri.
Huyo ex wako unampango wa kurudiana nae?
Aise Napenda mwamba anaenukia.pua yangu iko vizuri mno kupick smells.hata tukiachana harufu haiwezi isha
...Ananukia brevis perfume/brevis car😂😂
Kuna perfume ya brevis? SijuiAnanukia brevis perfume/brevis car😂😂
Pepsi ipo addictive mnoTafuta pepsi baridiii achana na hii kitu
Sikuwa nafahamu hilo kakaUlikuwa hujui
Mdogo wangu[emoji848]
Wanaonukia perfume wanakua hotter zan....... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie jana nimepanda kalift ka brevis,, nikamkumbuka yule mukaka [emoji854]
Nikakumbuka mpaka nickname nilipewa na mashost [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]