Wee kichaa futa picha hiyo., usitafute mabasha kupitia picha za watu, sema na picha zako, km unawashwa na hupati wa kuku kuna utafute dildo ziko madukan teleeee, mwenzio baunsa huko kajitekenya na dildo had chwaaa, achaga shobo na picha za watu, utakuja ufirike hadi upate bawaziri, mbwehaaa wee. Futa picha hiyo.View attachment 2276200
Mimi huyo nimevaa sweta lenye rangi za bendera ya Tanzania. Nasuburia 7600 yangu.
Kumbe watu wapo kimyaa wanasave picha za humu mmmmh.
Anakutafuta huyu si bureAfu hafuti, kaiacha tyuuh, anakera huyu mtu, aaaah watu tutatoka ktk huu uzi. Yaan kanitibua huyu.
Duh!! pole sana. Yapo sana hayo.Nina huyo mtu mdada alizinguana na bwana ake walikua kama wameachana kabisa haya nikajikuta mama ushauri ongea weee hee hata mwezi haujaisha wamerudiana, mimi sasa ndio nikaanza kusemwa naona wivu kisa mahusiano yangu mabovu nao nataka kuwaharibia nilikomaaa [emoji23]
@Moderator futa hii.View attachment 2276200
Mimi huyo nimevaa sweta lenye rangi za bendera ya Tanzania. Nasuburia 7600 yangu.
navyopenda kuachanisha watu... siwezi kuta mmepishana niwapatanishe, nitafanya chini juu mgombani kabisa, ikiwezekana muwe maadui wa kudumu 😄😄😄Nina huyo mtu mdada alizinguana na bwana ake walikua kama wameachana kabisa haya nikajikuta mama ushauri ongea weee hee hata mwezi haujaisha wamerudiana, mimi sasa ndio nikaanza kusemwa naona wivu kisa mahusiano yangu mabovu nao nataka kuwaharibia nilikomaaa [emoji23]
Kalabanavyopenda kuachanisha watu... siwezi kuta mmepishana niwapatanishe, nitafanya chini juu mgombani kabisa, ikiwezekana muwe maadui wa kudumu 😄😄😄
Huyu kuna kitu anatafuta sio buree.Watasababisha watu waache kabisa kuweka picha hapa.
Nashangaaa kakurupuka na kuweka picha yangu, afu sijaona sababu ya yeye kufanya hivyo, si ukorofiii huuAnakutafuta huyu si bure
Why asifute
Watu kutibuana tu mapema kote
vipi una mgoromgoro wa mapenzi nikusaidie 😄😄😄Kalaba
Hahaha [emoji23][emoji23]navyopenda kuachanisha watu... siwezi kuta mmepishana niwapatanishe, nitafanya chini juu mgombani kabisa, ikiwezekana muwe maadui wa kudumu [emoji1][emoji1][emoji1]
Sinavipi una mgoromgoro wa mapenzi nikusaidie 😄😄😄
Kujua misimamo headach za bure, jibu na ukimyaaa.. siku siku unamuomba game, akikunyima game mala tatu mfululizo ujue jini kisirani kaisha kata kambaHahaha [emoji23][emoji23]
Mimi nauliza msimamo wake nini hapo na mimi nabase hapo [emoji23]
Yeah , sio sawaNashangaaa kakurupuka na kuweka picha yangu, afu sijaona sababu ya yeye kufanya hivyo, si ukorofiii huu
Una mpenda au vipi ?Sina
@Active njoo hapaView attachment 2276200
Mimi huyo nimevaa sweta lenye rangi za bendera ya Tanzania. Nasuburia 7600 yangu.
Yaan kuna watu wanatafuta ugomvi bureee.Yeah , sio sawa
Hakuna sababu ya kuweka picha yako
Inakera mno ..
Bas boraa hata aseme km kuna tatizo, yeye kaweka afu kapotea lol.Sawa save
Kaaa uwe unaziangalia
Ukijiskia kuzisntch, go on!
Ila anachofanya yeye ni ulimbukeni tu…