Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji2][emoji2][emoji2] wa bugurini hawaijui chit chat wala jf.. mwanamke akijiunga tu JF umeisha.. atajanjaruka hukuu hatari..
Kabisa

Anamiliki

Kiswaswandu cha vikoba

Anaangalia senema za ugai gai

Habari za udaku anasikiliza Gea Habib

Hana mambo mengi
 
[emoji2][emoji2][emoji2] kitaa wapo kuku wa kienyeji buku tena zinatosha kuwahudumia sio nyie .. nyie mkoba tu 150k, perfume 300k, viatu 200k, saa 450k, hamtaki boda boda.. kwendeeeni zenu
Hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…