Selfika na JF: Snap it. Show it

Siku akiondoka mama, ntakuwa uchi tena uchi haswaa.
Leo nimepiga nae umbea wee had baas, kichaa wake mie.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Kumbe bado unatafuta wii!!
Sasa ile wanchoma ya nani??
Sitafuti wii😁
Ila point yangu ni kuwa ,km nilipo patafaa na kufikia mwisho mzuri ,fine
Vice versa ......pasipofikia mwisho si ndo tunaangalia mbereee in magu voice πŸšΆπŸ˜‚


Wanchoma😁😁😁nimecheka
Si ya anaemiliki Kwa ss au πŸ‘«πŸšΆπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…