Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Huyo cocastic siyo binadamu wa kawaida,atakuwa na Pepo au amezoea mkuyenge[emoji28]

Ni ngumu mwanamke unamtongoza alafu akuangalie usoni..ngumu Sana maana kiasili mna aibu.Sasa yeye si Tu anakuangalia usoni,yeye ameenda mbali zaidi anaangalia suruali anathaminisha mjegeja[emoji28][emoji28]..wa kawaida huyo?
Sasa wee kutongoza ili uwe na confidence, mwenzio atazame chini au a one aibu? Kwenye kutongoza n hivyo na kwenye kuzagamuana? Ndo utasikia zima taaa, mie sizimi taa nataka tuonane live kabisaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom