Umefanya vyema, hata ukimaliza dose unafanya kujilizisha kuwa kufanya checkup vizuri kwa sehemu tofauti. Kumekuwa na shida ya watu kutibiwa juu juu. Pole kamanda
Barua " basi usimalizie kusoma, kwani ukiendelea moyo wangu utauchoma, kwa kuondokea na huyo wangu mpenzi.. moyo wangu umejawa na simanzi " ππππ alafu kulikuwa na Boss waliyo imba Solothang, Juma nature nafiriki na Ferouz.. zamani walikuwa wana tungo nzuri