Selfika na JF: Snap it. Show it

Mnasimamaga kumbe heh

Alafu issue sio tu vistick kuna douching kuna wengine wanatumia sabuni kali zinaua mpaka askari walinzi wa uke kuna wengine maji wanakunywa mpaka wakisikia kiu na wakinywa wanapiga trumpet glass nzima hashushi

Ikitokea unasimama zako tu
Vyoo vingine havifai

Mambo ni mengi sana , watu wanataka kufanya majaribio ya miili yao . Nasikia kuna Yoni feki na bado watu wanazitumia aisee .
 
Tatizo lako

English nyingi

Sio wote tulisoma asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…