spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,136
- 21,881
Adui wa vibabu siku izi ni tako na sildenafilUtakuja kufiwa na vibabu lodge mjukuu wangu upate mikosi. Kuna kamoja kalizima mwezi Mei yaani ilikuwa aibu tupu maana kalikuwa kanaheshimika sana.
Kamebeba mzinga wa supa dupa yutong tena imeolewa kakapiga viagra moja kakaona mtambo haujasimama sawasawa kakaongezea nyingine. Pfuuu kakazima mazima. Yutong ikapaniki hiyooo ndukii na taulo tu kwenda front desk. Aibuu tupu yaani. Nenda navyo polepole mjukuu vinginevyo kwa mizagamuo yako unayosimuliaga humu ni suala la muda tu kuzimikiwa na hivi vibabu [emoji51]
Mummified tyrUshaanza kuoza au bado?
Unaupiga mwingi sana MwaisaπππUna kibamia wee, yaan hata alama kwamba kuna kitu, achilia mtuno lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu Depal na mwenzie cocastic wanaishi ktk fantasy,ni watoto wasamehewe Tu
Wakikua hizi ndoto zao za kutaja taja tall n dark guys wit handsome face zitayeyuka nakwambia.Kioindi hiko wanapishana Kwa mwamposa.Hapo hata Sisi tuliodharauliwa kisa hatujai ktk vipimo vyao ndy tutakuwa kimbilio lao [emoji28][emoji28]
Tena kilichozima majuzi hapa tumestaafu nacho. So sad yaani.Adui wa vibabu siku izi ni tako na sildenafil
Kwako SYB
ππππ umetokea wapi?Wastaafu oyeeeeeππ
Eeh! wakale nao walio anza nao.. sio wamejichokea ndio wanataka kumalizia uchovu wao kwetu damu changaa hazina hata magonjwa ya kizee zee πππππ π π
Duh[emoji848]..unajua maana ya kiboga???Shos namie ebu nitafutie kazee nimalizie nako uzee asee maisha yananila kiboga hukuu mie!![emoji6]
Kuna wazee wabishi sana way back kipindi natoka usiku nshawah parang ana na mzee 70+ kisa pisi club moja mbeya karibu na mafiat (yule mzee hakufa tho)Tena kilichozima majuzi hapa tumestaafu nacho. So sad yaani.
Miaka 70+ unaparamia supa dupa yutong utawezana? [emoji706]
Nyama ndaza tamu weee uki marinate fresh ππhapana hata na sie mlio na umri mkubwa hatuwataki wa kazi gani.. nani anataka kitu used, gazeti la majuzi
Kula nyama ya ndama na nyama ya ng'ombe mzee ndio utajua sasa ππππNyama ndaza tamu weee uki marinate fresh ππ
Kaa hapo na ndama wako π€£Kula nyama ya ndama na nyama ya ng'ombe mzee ndio utajua sasa ππππ
Sijui hata, nimejikuta tu nishapanda hili gari mziki wake ulinivutia π€£π€£π€£ππππ umetokea wapi?
Utajikuta umeenda sehemu sizo ππSijui hata, nimejikuta tu nishapanda hili gari mziki wake ulinivutia π€£π€£π€£
Hold onNdyoooooh
Ndama oyee... havili sana havina gharama kuvitunza , sio wazeee πππ anakula majani hatari plus maji lazim kichwa kiume.. ila vi ndamaa aaa maisha muswano π¬π¬π¬Kaa hapo na ndama wako π€£
Mtoto wa 97 uwe sugar mamy..Maajabu hayajawahi kuisha duniani[emoji28][emoji28]Ngoja ukuwe kidogo, au niwe sugar mami wako [emoji56][emoji56][emoji56]
[emoji16][emoji16][emoji16] Anasema na unatii ukiitika ndiyo daddyNakiri sijadharau wanaume [emoji23]
Ila Mwanaume wa 25 atananikataza nini nimsikie mie bibi wa 30s??
Yan kwamba me ni wa 97 ππMtoto wa 97 uwe sugar mamy..Maajabu hayajawahi kuisha duniani[emoji28][emoji28]