Sitaki uneneee, wembamba ndo pakee, mwenzenu napenda kudekadeka, sasa nikiwq bongee ntadeka vipi si itakua mam kubwa kawa jingaaa,Tubadishane basi matumbo [emoji1787]
Nna katumbo kg 3
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee jingaaa.Hiko hakipotei,wala hakiishi,Usiwe na wasi wasi Kwa Hilo . Ila kinachakaa ukikitumia vibaya[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila bas tyuuh.Awapi ... tumbo flat kabisa hilo!
[emoji23][emoji23][emoji23] ndo maaan hivyo hivyo.[emoji28][emoji28][emoji28]
Haswaaaaah.Njano ni habareee nyingine
………. Unipige!!Alafu nitakupigaaa...........
Kisongo akakutane na Sabaya. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]………. Unipige!!
You’ll choose btn kisongo or central [emoji23][emoji23][emoji23]
Dah 🤗Siyo wewe Tu hata kazini kwangu huwa wanashindwa kuamini nikiwaambia umri wangu,mbaya zaidi kuna ambao nikisimama nao wanaonekana mabro zangu kumbe wadogo wangu..Siri ni Kula mboga za majani,mazoezi na kutotumia vilevi
Nyie wanawake bana hamueleweki km unga wa ngano[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuanzia 35 kushuka chini, sijui nn wanakua na gubu hao. Lol
🤣🤣🤣🤣🤣 eehKisongo akakutane na Sabaya. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Upigwe jirani....safi………. Unipige!!
You’ll choose btn kisongo or central 😂😂😂
Hauna lolote,useme Tu ukweli unatamani uwe na tako km la AntonniaAkaaah sitaki bae wangu apate tabu ya ku slape, nataka a enjoy na kunifaidi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si inategemea na ntu na ntu, wastaafu wana shida gan? Km urungu wake unafanya kazi na mapene anayo, kwann nivunge? Namsanukia na kupita naye hiviii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyie wanawake bana hamueleweki km unga wa ngano
Depal below 30,wewe below 35 atakuja mwnigne atasema below 45 wanazingua.
Mnataka kuolewa na wastaafu??????
Safiiii jirani...cocastic sweta lako kwa juu
[emoji23][emoji23][emoji23] ndo maaan hivyo hivyo.
Wacha weeehh!! tatizo Vijana mambo mengiiiiii!!!Si inategemea na ntu na ntu, wastaafu wana shida gan? Km urungu wake unafanya kazi na mapene anayo, kwann nivunge? Namsanukia na kupita naye hiviii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nasubiria yako jiraniSafiiii jirani...
Chini ya 30, hovyo!Nyie wanawake bana hamueleweki km unga wa ngano
Depal below 30,wewe below 35 atakuja mwnigne atasema below 45 wanazingua.
Mnataka kuolewa na wastaafu??????
Hiyo ni kazi ya siku nyingine.Ila siwezi uongo..Nasema ukweliDah [emoji847]
Emu weka driving license au cha nida