Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,214
- 29,383
Nimekutag hapo juu mkuuMkuu rudia hio ya kusisimua basiii sijaiona jamani!
ππππ pia kwenye kupika umakini na kumbukumbu vinatakiwa,, me nilishaivisha wali usiokuwa na chumviβ¦[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan sijawahi kupika pilau likawa zuri, yaan lazima kuna sehemu nitakosea,
Hyo siku nimejikoki kutoa pilau la maana, bhana wee nikakalisha tako chini nitoe food ya kwenda, fanya mambo yote si nkajisahau kuwa chumvi nilitia kwa viungo, nilivoweka maji nkaweka tena chumvi, kilichofuata nyama lost ililiwa kavu na soda.
Yaan sahivi ndo naweza kidg, pilau sijawahi kupatia, sio siwezi tatizo kupatia hapo mtihani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtoto mdogo..
Nichumu basi mpenzi wangu wa zamani, ila wabaya wasioneπππMtoto mdogo..
GeneticsHiyo ni maswala ya vinasaba..Hukujifunza biology?
Alafu Mimi siyo mweupe ni maji ya kunde
Kwa forehead ππNichumu basi mpenzi wangu wa zamani, ila wabaya wasioneπππ
fanya kunichumu na hapa hapa kimdomoni kidogo uniachie lipstick color πππKwa forehead ππ
Wabaya fumbeni macho π
Ntajitahidi hadi niwe napatia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pia kwenye kupika umakini na kumbukumbu vinatakiwa,, me nilishaivisha wali usiokuwa na chumviβ¦
Sahivi ukijaribu unatoboa
Nilichukua maji moto kidogo, nikayatia chumvi niliyohisi pale itatosha. Then nikamaliza mchezoNtajitahidi hadi niwe napatia.
Sasa uliufanyaje? Ungeumwagia maji ya chumvi unakulaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole nkamuπ€£π€£π€£π€£Nilitaka kuvunja mkuu wallahπ
Wabaya wako kwa wapi? ππfanya kunichumu na hapa hapa kimdomoni kidogo uniachie lipstick color πππ
wabaya ni giza, hawaonekani ila wapo tu.. πππ we nichumu mie nipate harufu ya unyunyu wakoWabaya wako kwa wapi? ππ
Njaa πππPole nkamuπ€£π€£π€£π€£
π πwabaya ni giza, hawaonekani ila wapo tu.. πππ we nichumu mie nipate harufu ya unyunyu wako
ππ π€wabaya ni giza, hawaonekani ila wapo tu.. πππ we nichumu mie nipate harufu ya unyunyu wako
haya ndio maneno sasa π€π€ππ π€
Hapo fresh eeh π
Ukijiselfisha tu napoa nkamuπPole nkamuπ€£π€£π€£π€£
πhaya ndio maneno sasa π€π€
Hapo sasa safi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilichukua maji moto kidogo, nikayatia chumvi niliyohisi pale itatosha. Then nikamaliza mchezo
Ninunue binduki eeeh ππππ