yaan sijawahi kupika pilau likawa zuri, yaan lazima kuna sehemu nitakosea,
Hyo siku nimejikoki kutoa pilau la maana, bhana wee nikakalisha tako chini nitoe food ya kwenda, fanya mambo yote si nkajisahau kuwa chumvi nilitia kwa viungo, nilivoweka maji nkaweka tena chumvi, kilichofuata nyama lost ililiwa kavu na soda.