Yan acha tu, tubanie banie π€£Duh hali mbaya
Mimi huu nautumia sasa mzuri kweli .. naomba usiishe pia [emoji23][emoji23].
Hahha nomaYan acha tu, tubanie banie [emoji1787]
Ila utaisha tu..
Level za juu hizo sio za katiππππ ndio hivyo bana
Tumiko flani, level za kati π€£π€£
Askari gani ana tambi hivyo π[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] NimechekaView attachment 2273208
ππππ tulia basiLevel za juu hizo sio za kati
Kumbuka mwiko wa bei ya chini ni bukuππ
Kama kawaida, kuisha utaisha tu ila inabidi utulie tuucheleweshe πHahha noma
Nimetoka kuupika sasa... Jioni nasonga ugali
Tubane bajeti [emoji23][emoji23]
Nimecheka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Askari gani ana tambi hivyo [emoji23]
Tanzania isnβt serious!
Utulie huko kwa deli [emoji23]Kama kawaida, kuisha utaisha tu ila inabidi utulie tuucheleweshe [emoji23]
Pilau limeiva? Em tuoneπππππ tulia basi
πππππKama hutojal Mkuu, kindly share the recipe.
Ukiwa specific itafana zaidi.
Mchele kiasi gani, maji vikombe vingapi, chumvi, na viungo kwa ujumla n.k
My demo pakt zinaozea ndani tu sbb sijui.
Na nimeshakulaβ¦ nimeshibaaaPilau limeiva? Em tuoneπ
Ndio ndio bachelor wa kishua πUtulie huko kwa deli [emoji23]
Siku nyingine unapiga zako tambi , chapati ili kubalance mambo
Hata kutukaribishaNa nimeshakula⦠nimeshibaaa
Now najisnap kupunguza shibe ππ
Nilivyo na bajeti aisee huo ukishua nautolea wapi .. nanunua kisamvu cha jero nakipika mara mbiliNdio ndio bachelor wa kishua π
Jirani uko vizuri kwa mambo ya jikoni..Chakula kipo cha kutosha..
Nilikuwa tayari nimeshakula kula vitu vingi.View attachment 2273039
Aisee..Chaliifrancisco dearly πππ
Nakuona unapita kwa kunyata
Abee mkuuAisee..