Habari kuu.
Tamisemi yatoa ajira za afya na ualimu. Walioomba ni 150k, waliopata ni 9.8k.
Watu wameliwa vichwa huko hadi hurumaaa,
Kuna huyo dada yeye leo ni kilio tyuuh, mbavu zangu mie.
Watu wanateseka na ajira, heri yangu mie naeambiwa sifanani na kuajiriwa au sifai kutumikia taaluma yangu, nshajipanga kisaikolojia nikimaliza nafanya mambo yangu mengine, wao sasa vilio tyuuh huko sahivi.
DJ waleteeeeeeeeeeeeeh,