Ah pana mwendo kumbeMakambako hadi Shaurimoyo ni safari ya siku nzima mdogo wangu
Nitapitia kukusalimia hapo Makambako
Atown ni makazi tu, huku natafuta tonge best
Hahahaaa.... bange zako zinanikoshaga sana Wige..HS
Ndio kishaitwa pm
Hakuna picha tena
Tonnia lile dada lizuri
Amelala
Coca ndio huyu hata kutuonyesha tako skonz hataki
Sophy angalau na mdomo wake wa denda
Tina nae aah sijui nani anambana huko
Nilikuwepo wandugu
Muwe na wakati mzuri nyote[emoji2321]
Mkuu Mimi niliweka humu Jana,ulichekewa TuWeka yako tufahamiane mkuu
Nani huyo ambaye nafanana nae mrembo?Muonekano.
Basi naacha uchokozi🤐Una kauchokozi mpendwa
Kwako pia jiraniJumapili njema..
Njema sana jirani!!Salam za jumapili
Nakusalimia mamaa!!✋😘😘Kwako pia jirani
Niko salama jirani...Njema sana jirani!!
I hope uko poa jirani!
Asante na Mungu akupe kheri..Kwako pia jirani
🙏Mambo ya Walawi 19:18
Usifanye kisasi, wala kuwa na kinyongo juu ya wana wa watu wako; bali umpende jirani yako kama nafsi yako; Mimi ndimi BWANA.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] full vurugu[emoji3][emoji3][emoji1] wewe tenaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikajua ni daktareeeee.Hamna dear
Nilimaanisha naenda kulala [emoji23][emoji23]