Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,777
Anza wewe mremboTuwekee kwanza Basi HB jamani![]()
Anza wewe mremboTuwekee kwanza Basi HB jamani![]()
Jamani..unajua mwanamke anapenda kusikilizwa eeh
Ladies first
Nasubiri ujueAnza wewe mrembo
Ni kweli 😄😄Jamani..unajua mwanamke anapenda kusikilizwa eeh
Haya weka Basi Kaka mzuri
Kama mimi navyo subiri yakoNasubiri ujue
Weka tu yoyoteNi kweli
Basi vumilia nikipata ya kuweka nitakutag
Ukiweka tu na Mimi nitaweka kwa Mara ya 3Kama mimi navyo subiri yako
Naomba urudie moja tu inanitosha halafu na Mimi nalipizaUkiweka tu na Mimi nitaweka kwa Mara ya 3
Ungejua hata hizo imebidj nitumie simu ya mtu🙈Weka tu yoyote
Maana zote tu unapendeza
Weka kwanza wewe.Naomba urudie moja tu inanitosha halafu na Mimi nalipiza
Hivyohivyo.Ungejua hata hizo imebidj nitumie simu ya mtu![]()

Icheki avatar yanguWeka kwanza wewe.
Mimi kurudia si shida
😂😂😂Unani pump tu hapa ili nianzeHivyohivyo.
Wewe Ni hb tu..hata zikitoka na ukungu,uzuri uko palepale![]()
Hapana unanidanganyaIcheki avatar yangu
Lakini niliyoongea Ni kweliUnani pump tu hapa ili nianze

Ngoja nikutafutie tbt moja enzi nasomaHapana unanidanganya
Sijawahi sifiwa kama leo yani...nahisi nitalala vizuri sana kwa kweli.Lakini niliyoongea Ni kweli![]()
Nataka ya Sasa.Ngoja nikutafutie tbt moja enzi nasoma



weka picha Basi ili nimalizie sifa zilizobakia
Sijawahi sifiwa kama leo yani...nahisi nitalala vizuri sana kwa kweli.
Sijui sababu nilikuwa nimetoka kupiga midnight prayers![]()
🤣🤣🤣🤣Basi tuweke za utotoniNataka ya Sasa.
Ukiweka tbt na mm nitaweka ya kipindi nazaliwa![]()