Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,781
🤣🤣🤣si ndio maana naziba sura...nikiacha wazi hamtalala nyinyi warembo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa wewe ukisema sura yako imefanana na mzimu na sie wengine tusemeje?? Haki watu mna kufuru jamani!!