Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Umeshafuta??
Nilitaka unavyomaliza kuiquote niwe nimeshaifuta
Nilitaka unavyomaliza kuiquote niwe nimeshaifuta
Hahahaha.Walau Leo umetukumbuka maana ulishautosa Uzi[emoji16]
Bahati yako[emoji1787][emoji1787]
Ongeza boss tusafishe macho[emoji7][emoji7]Nishagundua huu ndo muda mzuri wa kutupia picha huu
Nishagundua huu ndo muda mzuri wa kutupia picha huu
Umeona eeeh.Usijifiche hivo jamani
😂😂😂Hahahaha..
Livapuu juzi wamejua kunifurahisha [emoji7][emoji7].
Kuna watu ninewazomea juzi..utadhani hata mechi yenyewe niliangalia Basi[emoji1787]
Hahahaha..
Livapuu juzi wamejua kunifurahisha [emoji7][emoji7].
Kuna watu ninewazomea juzi..utadhani hata mechi yenyewe niliangalia Basi[emoji1787]
Hahahaha.
Nipo mbona.
Ila niliamua kutoka..Maana kukaa bila kuchangia nyuzi nyingine Napo Ni shida.
😂😂😂😂nafanana na watoto wa chuo enhVipi lakini ndugu HESLB wameshakupa mkopo??
Yaani ule Uzi wameniona mimi chaubishi maskini[emoji1787][emoji1787][emoji1787].[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sie wengine wapambe nuksi tu ndugu yangu
Yaani nimezomea watu jamani..halafu ukiuliza hata aliyefunga goli simjui Maana mechi sijaangalia[emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah true..Hahahaha.
Nipo mbona.
Ila niliamua kutoka..Maana kukaa bila kuchangia nyuzi nyingine Napo Ni shida.
Nyie mmekuwa walevi wa huu uzi.Umeona eenh??
😆😆😆nimetupia 2 inabidi nyinyi m-balance mahesabu sasaOngeza boss tusafishe macho[emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nafanana na watoto wa chuo enh
Polemi.jitahidi muende na kwingine.Yeah true..
Huu Uzi umenifanya nizikache nyuzi zingine aisee
Yaani ule Uzi wameniona mimi chaubishi maskini[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Nimeibuka tu na kuwa famous maskini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mungu anakuona.[emoji38][emoji38][emoji38]nimetupia 2 inabidi nyinyi m-balance mahesabu sasa
Yaani nimezomea watu jamani..halafu ukiuliza hata aliyefunga goli simjui Maana mechi sijaangalia