NilipendaSaluni ya mama Kimbo naona ilikaa kiswahili mno..sikuipenda.
Hivi moyo imeishaje?
Wiki iliyopita sijafuatilia.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kwa kweli 😂😇Kama wamegombana si ndio vizuri nafasi iko wazi uchangamkie tena😁
Ndy,nilikuwa nataka uongee ukweli[emoji23][emoji23] si ndio ulikuwa unalitaka
Siwezi kukufanyia hivyo, we mtu wangu sanaUnanifanya toy eeh
Sawa[emoji3]
Nimeongea… una hakika gani kama ni ukweli au uongo?Ndy,nilikuwa nataka uongee ukweli
Mwe hii comment yako imenifanya nielewe comment yako ya mwanzo kumbe dear ex ni mchungaji mbona hakuwahi nambia?This is deep Baba Mchungaji.
Ubarikiwe sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hivi kuna tamthilia nzuri kuizidi Kombolela?Nzuri sana
Nilipenda ile ya mama Kimbo
NdiwoooUsinifanyie hivyo shoga, we ndio mchizi wangu ujue😍😍😘😘
Manake ncheke kwanza😁😁😁Siyo kweli[emoji28][emoji28]
Narudia tena Depal ana mtu anapendana nae sn,tena ni wa humu humu Alafu Kwa nini kabadilisha avatar kagombana na Mzee Baba?
Umeanza vizuriii af mwisho umeharibu😂Ndiwooo
Mchizi kichizi…
Nimpendae kindaki ndaki😍
Ila juu ya dari napanda 🎤 🤣🤣
Mara zote mwishoni ndio uwa kuna haribika 😂😂Umeanza vizuriii af mwisho umeharibu😂
Jirani leo uko vizuri..Mara zote mwishoni ndio uwa kuna haribika 😂😂
Nimefanyaje jirani 😂Jirani leo uko vizuri..
Wacha nifanye hiyo last sentence sijaiona😁Mara zote mwishoni ndio uwa kuna haribika 😂😂
nitarudi kuibold ujue?? 😂Wacha nifanye hiyo last sentence sijaiona😁
I love you moooore babygirl😘
Uko na raha...Nimefanyaje jirani 😂