Kuna dawa hivi mie kuna mtu aliniletea kutoka SA, sema imeisha karibuni tyuuh, bhana wee inaumiza ila, unaipaka kwenye meno inakaa km dakika 15 ndo unaanza kusugua,
Aseeeh mabadiliko nimeyaona, meno yangu ni meupe tangu mda, ila baada ya kutumia hii dawa yamezidi kuwa meupe, ndo nahangaika kutafuta madukan.