Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
UselefikeWapi tena?
UselefikeWapi tena?
Sina selfieUselefike
Wajumbe wanapita kimya kimya😅Unaweza kuona
Pako kimya
Lakini imeshatumika[emoji1787]
600 mbayaa wewe[emoji1787]
Sasa
Si selfie jamaniSasa
Ndio nini[emoji848]
Sioni kituSi selfie jamani
Mbona picha ipoSioni kitu
Mi pia imenigomea kufunguka Mama Mchungaji. Dah!Mbona picha ipo
Basi sio bahati yenu. Uzuri hiyo picha siifuti 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mi pia imenigomea kufunguka Mama Mchungaji. Dah!
View attachment 2270921
Jaribu bahati yako hapa mkuuTupia Voda or Airtel Mkuu..
Ngoja nijaribu bahati yangu kwenye browser [emoji16]Basi sio bahati yenu. Uzuri hiyo picha siifuti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Olive oil,salt and pepper(seasoning)lemon juice(fish).marinate Kwa dakika kadhaa…pan fry/grill.Nimedanganya watu mi mkali wa hizi vitu. Hebu okoeni jahazi na recipes au kesho nilale na blue balls.
View attachment 2270865
Mkongwe na ID mupya
Mweeeh🙆
Usinitanie!Tumemalizana, Karibu.
View attachment 2270885
Hivi si tulikubaliana vocha si ni Kwa ladies