Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,840
- 57,484
Kweli Babu Nina wajukuu vyombo sana🙊
Mjukuu usikae sana hapo Nje, nimeona vijana wanajipitisha pitisha Kila saa kukusalimia🤪🤪
Kweli Babu Nina wajukuu vyombo sana🙊
Shem darling location
😂😂😂 Ila msitumie zote zikaisha, kumbuka bado sijanunua mbolea kwaajili ya kilimo changu Cha kiangazi 🏃😂😂 sawa babu nitamfikishia taarifa.
Huu ndio muda mzuri wa kumtembelea babu sasa😁
Shem darling umenitenga sanaaaa...

HahaaNakuona umetupia vitu vikali tu![]()
Tutachukua kidogo tu babu, we kuwa na amani😛😂😂😂 Ila msitumie zote zikaisha, kumbuka bado sijanunua mbolea kwaajili ya kilimo changu Cha kiangazi 🏃
Pole shem darling ni majukumu tu yanabana.Shem darling umenitenga sanaaaa...![]()
Marahaba mdogo wangu kipenzi
Wakishua 😍
Leo nipo mbali sana ila kama upo mjini kesho nitakuchekiPole shem darling ni majukumu tu yanabana.
Yo location

Kinaendana na changu..japo changu cha bei chee .Santeee
Nkamu kumbe huwa unapiga vyombo kwa mbaaali.Karibu tumwagilie moyo na mziki mzuri, the weekend is here..![]()
Weka picha tuoneKinaendana na changu..japo changu cha bei chee .
Umekaa kwa wapiKaribu tumwagilie moyo na mziki mzuri, the weekend is here..![]()
Niko poa,Marahaba mdogo wangu kipenzi
Uhali gani wewe?