Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,095
- 41,711
Karibu semina jmn😁Kwema kaka naona uko na mtumishi mnafanya sala🤣🤣
Karibu semina jmn😁Kwema kaka naona uko na mtumishi mnafanya sala🤣🤣
Ndio mkuu, sehemu ya majukumu ya kila siku mkuu wangu 😄😄Kwema kaka naona uko na mtumishi mnafanya sala🤣🤣
Karibu semina jmn😁Kwema kaka naona uko na mtumishi mnafanya sala🤣🤣
Shytee😆 ..Nikikukamata umekwisha 😃Saint Anne inabidi tumkokote kwenye show kama hizi, hapo umekula beer kama 2 na bapa kubwa, hajui utamu wake.
JmnDaaaah 🙌🙌🙌🙌🙌😂😂😂
Umtendee kwa upole binti sayuni, nina mkubali mnoNdio mkuu, sehemu ya majukumu ya kila siku mkuu wangu 😄😄
Yaani. Fanya tu ukaendelee na maandaliziJmn
Nacheka km mazuriii
AsanteeKaribu semina jmn😁
hapa kila kitu kinaenda sawa sawa kabisa chini ya uangalizi wa jirani yangu wa nguvuuu mama pastor Heaven SentUmtendee kwa upole binti sayuni, nina mkubali mno
Christine1
Wawe na amani zoteeeeeeehapa kila kitu kinaenda sawa sawa kabisa chini ya uangalizi wa jirani yangu wa nguvuuu mama pastor Heaven Sent
Ukikwama nicheki skype, basi nikutakie kazi njema 🙏🏿😄😄😄😄 Hapo usijali mkuu.. miongozi lazima izingatiwe .. bendela itapepe mwanzo mwisho
Nini 🤣Imajini[emoji1787][emoji1787]
Hatutaki. Ulishasema hurandani na sisi watoto wa MwakasegeNakuja kwenye semina
hahahaaa... Maji kama maji 🤣🤣🤣🤣😂Nipo Moro
Nipo Bar
Nakata maji
Karibu
Sijajua,ila nimeona tu wachoma inafongoa mbengo.Blaza big
Tulia😂😂😂jmn
Mnanionea
TonniaEendiwoooo!!!! Focus mjomba mjomba foccccccuuuuuusss hebu tokeni selfika kwa muda mnamuangusha shangaziiiiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] !!
Let them enjoy guys maisha ndio hayahaya ✌️✌️✌️✌️💃!!Watu wazima hao
Halafu majimbo huru
Pia ni wafabiashara maarufu
Wanaenda Ghuanzhou na Dubai
Mbengo za blaza big zimeshafongokaSijajua,ila nimeona tu wachoma inafongoa mbengo.
Tulia
Endelea kula bata hapo [emoji847]
Wingo linashokaaaaaMbengo za blaza big zimeshafongoka