Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji441] Selfika tuimbe woooteeee sayyyy [emoji445]Sisi ni walevii x2 [emoji445]
[emoji445] Tunapenda kamnywesooo [emoji444][emoji445]

[emoji445] Furahhh ni kuwa na marafiki, furahh ni kulewa na marafikiii [emoji444]

[emoji441] Yo Dj _King hold up bro, hold up, niwasalimie wana, Ebwanaaaa niajeeeeee
[emoji1529] Siwasikiiii , selfika niajeeeee

[emoji441] Kwenye wheels of chuma its Deejaaay _King [emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji441] Nampandisha kwenu mtoto mzuri toka Green City, mtoto mwenye kiuno kama nyigu,kiuno hakina mfupa, sauti ya kumtoa nyoka pangoni, piigaaa keleeee kwaaaaa Saint Anne [emoji91][emoji91][emoji91][emoji313][emoji313]

[emoji441] Yo Dj _King are you ready Bro, Ok lets do this.... one, two three..

[emoji445]kamata chini, kamatia chini...............[emoji444][emoji445]

Watu weweeeeeee!!!![emoji91][emoji91][emoji313][emoji91][emoji313]
Waletee [emoji1787][emoji2089]

Dj wansi moo
 
🎤 Selfika tuimbe woooteeee sayyyy 🎶Sisi ni walevii x2 🎶
🎶 Tunapenda kamnywesooo 🎵🎶

🎶 Furahhh ni kuwa na marafiki, furahh ni kulewa na marafikiii 🎵

🎤 Yo Dj _King hold up bro, hold up, niwasalimie wana, Ebwanaaaa niajeeeeee
👂🏿 Siwasikiiii , selfika niajeeeee

🎤 Kwenye wheels of chuma its Deejaaay _King 🔥🔥🔥
🎤 Nampandisha kwenu mtoto mzuri toka Green City, mtoto mwenye kiuno kama nyigu,kiuno hakina mfupa, sauti ya kumtoa nyoka pangoni, piigaaa keleeee kwaaaaa Saint Anne 🔥🔥🔥🎇🎇

🎤 Yo Dj _King are you ready Bro, Ok lets do this.... one, two three..

🎶kamata chini, kamatia chini...............🎵🎶

Watu weweeeeeee!!!!🔥🔥🎇🔥🎇
🤣Hebu nilipe acha mashairi
 
Back
Top Bottom