Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Paka leo sijaopoa hata kibwengo cha JF 😄😄😄 ndio maana nimeacha kutupia vocha.. nilipanga leo niweke za laki moja ila mmh! natwanga maji kwa kinu hata PM hazijibiwi
Paka leo sijaopoa hata kibwengo cha JF 😄😄😄 ndio maana nimeacha kutupia vocha.. nilipanga leo niweke za laki moja ila mmh! natwanga maji kwa kinu hata PM hazijibiwi
Wacha wee!Life is
Two ways
Trafic
Tukikwambia tuone
Maeneo pendwa
Unazingua
Ebu anza leo
Utashangaa wanavyomwagika
Nimempa mbinu rahisi [emoji23]ila wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]nimecheka sn
Naniliu [emoji1745]Naam
Binti uliyebarikiwa
Naniliu
Njoo
Ngoja atakuja mwenyewe kusema sababu.Hapana, kwanini dea?
Kifua
Usiniambie MkuuPaka leo sijaopoa hata kibwengo cha JF [emoji1][emoji1][emoji1] ndio maana nimeacha kutupia vocha.. nilipanga leo niweke za laki moja ila mmh! natwanga maji kwa kinu hata PM hazijibiwi
Usione vyaelea..
Akijibu nitagg
Umegawanyika rafikiNaniliu [emoji1745]
ipige mwenyewe tu mkuu wangu! huna utachopata zaidi zaidi wana kung'ong'a baada ya kutumia vocha yako 😄😄😄😄Usiniambie Mkuu
Kwa hiyo mie
Hamsini yangu ya safari lager
Ndio itapepea nibaki na kiu
Siku hiyo[emoji848]
EehUsione vyaelea..
Vizuri ni gharama..na mtaka Cha uvunguni lazima uiname.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Huo utakuwa upendo kweli? WigeKifua
Kiuno
Tako
Guu la bia
Tena saba kwa sitaSasa
Hapo ulipo
Unalalia likitanda likubwa
Na upo peke yako
Lazima usijitambue
Siku ukosee uzame
Kwangu stoo
Ndio utajua hujui
Akili lazima zikukae
Haina(ga)maelezo
EwaaEeh
Wewe huyo[emoji1787]
Pole mkuu.Umegawanyika rafiki
Uongo dhambi
Mie udenda unanitoka
Kama teja vile