Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Watu wa june wana makelele sanaaa
Wachokozi
Wabishi
Akianza kuongea saa 1 ni mpaka saa 4 kasoro…

Happy 30s dogo [emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji1787]
We umeona hapo hadi Mjep ni team June.

Kuna namna huu mwezi una baraka za kipekee.

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Tumewaacha sasa kwenye kundi la watoto.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Eti tuna huruma[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mdogo wangu mimi nimeshajipanga hapa na kapu la kupokea zawadi za birthday
Nautangazia umma wa selfika kuwa mimi ndiye nimeteuliwa na familia kwa ajili ya zoezi hilo
[emoji23][emoji23][emoji23]
Tuna huruma sana..
Mfano mzuri ni wewe hapo.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787]
We umeona hapo hadi Mjep ni team June.

Kuna namna huu mwezi una baraka za kipekee.

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Tumewaacha sasa kwenye kundi la watoto.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Even my mom ni wa june 😁
Nawajua very well… mna kelele sana hata kwa kitu kidogo cha ku ignore
 
Back
Top Bottom