Hujataka tu mm nimeishi na waislam nikiwa 6 yrs mpka natimiza miaka 16 then nikaenda zenji kwa waislam tena. Nineenda madrasa..nimeenda Msikitini ila ukristo sijawahi kuucha. Ilibidi kwa juhudi zangu niitafute imani yangu kwa uhakika japo kipindi hiko pia nilikua naenda kanisani sunday mpka nikahamia misa za wakubwa