Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,566
- 235,388
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ngoja nijirembe kwanza nisije nikaibuka huko hivi hivi nikakutisha bure mtoto wa watu
Woyooooooo.Dkk mbili.View attachment 1253925
Ngoja tutafute oesa tu hakuna namnaDkk mbili.View attachment 1253925
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Neno mtoto silitakagi maishani mwangu maana linanipa limit ya kufanya mambo fulan kisa mm ni mtoto
Acha utani[emoji7][emoji7]Hivi unajua mimi nimebatizwa nikiwa mdogo. Sema ni maisha tuu yameniweka mbali na ukristo.
Nimeishi na waislam hadi nimeshazoea. Ila mimi ni mkristo japo kanisani ndio hivo[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Tena mtoto mzuri huyu jamani[emoji7][emoji7][emoji7][emoji847]
Ombi gani hilo shee?Hujalifanyia kazi ombi langu shee
Mbali sana. Ndio unaishi huko?Njoo kigoma basi[emoji111][emoji111]
Yule[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]Sawa. Usikute na mchumba angu mnamsubiria[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Dkk mbili.View attachment 1253925
Yani Mashaallah
Mwite Depal atusaidie kuita[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]natamani hata nimuite huyo mumeo jamani
Hivi unajua mimi nimebatizwa nikiwa mdogo. Sema ni maisha tuu yameniweka mbali na ukristo.
Nimeishi na waislam hadi nimeshazoea. Ila mimi ni mkristo japo kanisani ndio hivo[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Salama tu. Nimepitwa na nini?Woyooooo
Salama,, za kazi??
Kazuri Sana [emoji7][emoji7]
Waow hongera[emoji7][emoji7].Kweli, baba yangu mzazi ni mwislam ila nilibatizwa mama yangu alikuwa mkristo. tangu nipo na miaka mitatu nimeishi Zanzibar, kwenye familia ya kiislam tena ya kiislam haswa mpaka ukubwa huu.
Nishajizoelea madrasa, msikitini, ushungi kila kitu.
Kwa sasa nipo Dubai na ni uislam tu kwa kwenda mbele. Hawajawahi kujua mimi ni mkristo[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]