Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Video sikutumii 😹😹Wee nitumie video ndio na mimi nakufundisha kuhide😎
View once imekuaje kwan sikuhizi? Ila kweli sina app nyingne
Natumia tecno wereva bana haina hiyo option😃
Weeeh kumbe!!!!!!!!Na ulivyo tall dark guy… hehe utakusanya sana
Hahaa wapi hukooo😛Huu mkono kama nimeshawahi kuuona sehemu hivi!!![]()
Nipunguzie nyama za paja dyadyaaaBasi bana...View attachment 2266892
Si nasikia masley queen ndio wanawapenda hao ‘tall dark guys 😄😄😄Weeeh kumbe!!!!!!!!
Na Mimi niliamua nijaribu nearest selfie, nimeona maajabu yake kwa kweli🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nipunguzie nyama za paja dyadyaaa
Ndotoni!! 😆😆😆😂😂😂🤣🤣🤣🚬🚬🚬🏃🏾🏃🏾🏃🏾Hahaa wapi hukooo😛
Ukija uje na video azawaiz sijibu... Na venye no blue tick nitakujibu kesho alfajiri nikwambie ndio nimeona text yako saiv😁😁Video sikutumii 😹😹
Subiri nije huko wasap uone 😂
Weee teknoo which!!!!!
Safiii jiraniNa Mimi niliamua nijaribu nearest selfie, nimeona maajabu yake kwa kweli🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Aah Mimi nilisikia Wanawake wengi wanapenda tall dark guys; eti inawafanya wafeel secure🏃🏃🏃🏃🏃Si nasikia masley queen ndio wanawapenda hao ‘tall dark guys 😄😄😄
Colour combo on point😍Basi bana...View attachment 2266892
You got ka beautiful physical appearance… dj waleteee masley kwiniiiii 🤣🤣🤣🤣Umeanza
![]()
😅😅😅 we unaingia upande gani?Aah Mimi nilisikia Wanawake wengi wanapenda tall dark guys; eti inawafanya wafeel secure🏃🏃🏃🏃🏃
WeeeeeeeeehYou got ka beautiful physical appearance… dj waleteee masley kwiniiiii 🤣🤣🤣🤣
Leo uwahi kulala utaona hadi sura😂😂Ndotoni!! 😆😆😆😂😂😂🤣🤣🤣🚬🚬🚬🏃🏾🏃🏾🏃🏾
Kwa mara ya kwanza nimeibamba nusu picha. Hongera sana mkuu.Basi bana...View attachment 2266892
Naingia pale pa "what you want Vs what you get".🤣🤣😅😅😅 we unaingia upande gani?
Samahanini jamani 😆😆😆😆😆😆😆Weeeeeeeeeh
Hongera pia kwa kuibamba🤣🤣Kwa mara ya kwanza nimeibamba nusu picha. Hongera sana mkuu.