wanawake wenye umri mdogo ndiyo huwa wanaangalia sura mdogo wangu,, tafuta hao sie watu wazima tunaokaribia kuolewa umri hauruhusu tena kuangalia sura..
Yaani hawa wanaume wa siku hizi sijui wanatutakia nini kuzaliwa wazuri kuliko sisi dada zao kuna mmoja juzi juzi hapa alituma picha yake mtoto wa kiume ana miguu mizuri kuliko hata mie mtoto wa kike jamani looh
kuwa na familia siyo shida,, najua wewe ni mfuatiliaji wa baadhi ya american rappers kutokana na avatars zako,, lil wayne alipata mtoto wake wa kwanza akiwa ana miaka 16 kwahiyo ikawa mtoto kapata mtoto,, sasa yawezekana na wewe ni dingi mtoto..