Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 14,970 Reaction score 35,342 Jun 20, 2022 #222,321 cocastic said: Kabisaa dea km huyu jamaa, yaan watu anatufanya tuwaze sana. Click to expand... Jitu halisomi afu linapasua
cocastic said: Kabisaa dea km huyu jamaa, yaan watu anatufanya tuwaze sana. Click to expand... Jitu halisomi afu linapasua
Darcyy JF-Expert Member Joined Oct 26, 2021 Posts 2,432 Reaction score 9,756 Jun 20, 2022 #222,322 Kwema humu!!,?
M Mjep JF-Expert Member Joined Oct 28, 2014 Posts 11,721 Reaction score 34,880 Jun 20, 2022 #222,323 Lenie said: Nimepigia tu picha, nijiumize kichwa kisa nini na hela ya panado sina mie😂😂 Click to expand... Hayo tumuachie mdogo wangu Tinsley na mama mchungaji Heaven Sent hawa ndiyo wanafaa kuwa wahariri wa Daily News😁
Lenie said: Nimepigia tu picha, nijiumize kichwa kisa nini na hela ya panado sina mie😂😂 Click to expand... Hayo tumuachie mdogo wangu Tinsley na mama mchungaji Heaven Sent hawa ndiyo wanafaa kuwa wahariri wa Daily News😁
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,335 Jun 20, 2022 #222,324 QueenDeby said: Kwema humu!!,? Click to expand... Kwema mamaa tumekumiss mnoo!😘
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,171 Jun 20, 2022 #222,325 Depal said: Sasa kwanini hauna gari shost 🤣🤣🤣🤣🤣 Click to expand... Sielewi hata🤣🤣 Af hujanitumia ile video, nataka niweke status😂
Depal said: Sasa kwanini hauna gari shost 🤣🤣🤣🤣🤣 Click to expand... Sielewi hata🤣🤣 Af hujanitumia ile video, nataka niweke status😂
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,171 Jun 20, 2022 #222,326 Mjep said: Hayo tumuachie mdogo wangu Tinsley na mama mchungaji Heaven Sent hawa ndiyo wanafaa kuwa wahariri wa Daily News😁 Click to expand... Eeh sie wengine wacha tupige nayo picha tu za kupost selfika😂😂 Wenyewe watasoma
Mjep said: Hayo tumuachie mdogo wangu Tinsley na mama mchungaji Heaven Sent hawa ndiyo wanafaa kuwa wahariri wa Daily News😁 Click to expand... Eeh sie wengine wacha tupige nayo picha tu za kupost selfika😂😂 Wenyewe watasoma
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,171 Jun 20, 2022 #222,327 Depal said: Nipashe magazine 😂😂😂 Click to expand... Nimehama huko ujue🤣🤣🤣
Darcyy JF-Expert Member Joined Oct 26, 2021 Posts 2,432 Reaction score 9,756 Jun 20, 2022 #222,328 Antonnia said: Kwema mamaa tumekumiss mnoo! Click to expand... Nimekumiss piaa mamitoo.... Nimerudi sasa
Antonnia said: Kwema mamaa tumekumiss mnoo! Click to expand... Nimekumiss piaa mamitoo.... Nimerudi sasa
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,792 Reaction score 721,062 Jun 20, 2022 #222,329 cocastic said: Aseeeeh watu mnakula good time tyuuh, Antonnia nitafutie danga niwe napanda Air bus. Click to expand... 😂 😂 😂 😂
cocastic said: Aseeeeh watu mnakula good time tyuuh, Antonnia nitafutie danga niwe napanda Air bus. Click to expand... 😂 😂 😂 😂
CAPTORHINOMORPHS JF-Expert Member Joined Sep 29, 2019 Posts 3,066 Reaction score 7,650 Jun 20, 2022 #222,330 cocastic said: Kabisaa dea km huyu jamaa, yaan watu anatufanya tuwaze sana. Click to expand... Unamuwazia mtu nshakuvua nyota nawe,
cocastic said: Kabisaa dea km huyu jamaa, yaan watu anatufanya tuwaze sana. Click to expand... Unamuwazia mtu nshakuvua nyota nawe,
CAPTORHINOMORPHS JF-Expert Member Joined Sep 29, 2019 Posts 3,066 Reaction score 7,650 Jun 20, 2022 #222,331 Kelsea said: Jitu halisomi afu linapasua Click to expand... Chuo hakuna asiye soma sema nenda geto kwake uone show,, ni bundi kinyama
Kelsea said: Jitu halisomi afu linapasua Click to expand... Chuo hakuna asiye soma sema nenda geto kwake uone show,, ni bundi kinyama
spidernyoka JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 8,029 Reaction score 21,532 Jun 20, 2022 #222,332 CAPTORHINOMORPHS said: Chuo hakuna asiye soma sema nenda geto kwake uone show,, ni bundi kinyama Click to expand... Not always lakini watu hawasomi na First class znakaaa kama kawa
CAPTORHINOMORPHS said: Chuo hakuna asiye soma sema nenda geto kwake uone show,, ni bundi kinyama Click to expand... Not always lakini watu hawasomi na First class znakaaa kama kawa
Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,307 Reaction score 32,791 Jun 20, 2022 #222,333
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 14,970 Reaction score 35,342 Jun 20, 2022 #222,334 CAPTORHINOMORPHS said: Chuo hakuna asiye soma sema nenda geto kwake uone show,, ni bundi kinyama Click to expand... et eeh kwamba magetoni anakesha, nalo neno lkn.
CAPTORHINOMORPHS said: Chuo hakuna asiye soma sema nenda geto kwake uone show,, ni bundi kinyama Click to expand... et eeh kwamba magetoni anakesha, nalo neno lkn.
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 14,970 Reaction score 35,342 Jun 20, 2022 #222,335 spidernyoka said: Not always lakini watu hawasomi na First class znakaaa kama kawa Click to expand... Kuna watu wakishaelewa class basi wamemaliza, hutawaona wanahangaika na madaftar na wanapasua vibaya
spidernyoka said: Not always lakini watu hawasomi na First class znakaaa kama kawa Click to expand... Kuna watu wakishaelewa class basi wamemaliza, hutawaona wanahangaika na madaftar na wanapasua vibaya
Darcyy JF-Expert Member Joined Oct 26, 2021 Posts 2,432 Reaction score 9,756 Jun 20, 2022 #222,336 Kelsea said: et eeh kwamba magetoni anakesha, nalo neno lkn. Click to expand... Sema msuli wa getoni sio mzuri Sana. Haunaga uhuru kabisa. Labda kama waishi peke yako. Lakini mkiwa timu mmmmh ni mtihani.
Kelsea said: et eeh kwamba magetoni anakesha, nalo neno lkn. Click to expand... Sema msuli wa getoni sio mzuri Sana. Haunaga uhuru kabisa. Labda kama waishi peke yako. Lakini mkiwa timu mmmmh ni mtihani.
Darcyy JF-Expert Member Joined Oct 26, 2021 Posts 2,432 Reaction score 9,756 Jun 20, 2022 #222,337 Kelsea said: Kuna watu wakishaelewa class basi wamemaliza, hutawaona wanahangaika na madaftar na wanapasua vibaya Click to expand... Labda Kwa madarasa ya chini. Chuo useme hivyo unatafuta nini lakini?? Lbd km una sponsor.
Kelsea said: Kuna watu wakishaelewa class basi wamemaliza, hutawaona wanahangaika na madaftar na wanapasua vibaya Click to expand... Labda Kwa madarasa ya chini. Chuo useme hivyo unatafuta nini lakini?? Lbd km una sponsor.
spidernyoka JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 8,029 Reaction score 21,532 Jun 20, 2022 #222,338 Kelsea said: Kuna watu wakishaelewa class basi wamemaliza, hutawaona wanahangaika na madaftar na wanapasua vibaya Click to expand... Mwanzoni walijua nasomea geto baadae nkahamia nyumba tunakaa na classmates wakasema nasomeaga chumban mwsho nikakaaga na mchumba akahisi tukilala naamka nasoma kimya kimya 🤣
Kelsea said: Kuna watu wakishaelewa class basi wamemaliza, hutawaona wanahangaika na madaftar na wanapasua vibaya Click to expand... Mwanzoni walijua nasomea geto baadae nkahamia nyumba tunakaa na classmates wakasema nasomeaga chumban mwsho nikakaaga na mchumba akahisi tukilala naamka nasoma kimya kimya 🤣
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 14,970 Reaction score 35,342 Jun 20, 2022 #222,339 QueenDeby said: Sema msuli wa getoni sio mzuri Sana. Haunaga uhuru kabisa. Labda kama waishi peke yako. Lakini mkiwa timu mmmmh ni mtihani. Click to expand... Kuna wengne wanaweza kigheto gheto na yupo mwenyewe anakuambia hivyo ndio anaelewa zaidi kuliko kukaa na group.
QueenDeby said: Sema msuli wa getoni sio mzuri Sana. Haunaga uhuru kabisa. Labda kama waishi peke yako. Lakini mkiwa timu mmmmh ni mtihani. Click to expand... Kuna wengne wanaweza kigheto gheto na yupo mwenyewe anakuambia hivyo ndio anaelewa zaidi kuliko kukaa na group.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,308 Jun 20, 2022 #222,340 Kelsea said: Jitu halisomi afu linapasua Click to expand... Wee noumaaaah.