Mkokaa nimekuona
Huyu ni wewe
Hata ile uliyofuta pia nimeona 😂😂😂Apo juu
Hahaha..
Mimi vyote vyote.
Wereva + vitambi vya kiporo![]()
😂😂😂😂😂😂😂 vidole vya tangawiziKabisa niweke vidole vyangu vya kufukua viazi![]()
Nikuone basiHapo umenizidi kitambi
Nikuone basi
Mkokaa nimekuona

Zinaporomoka picha Kali Kali tu humu.
Yangu na hichi kitambi Cha ugali..walahi siwezi kutuma
NakujaHahahaha labda pm
Powa. Namba ngapi?Tafuta utaniona na utakubali
Za wakaka hazishtui sana km za wadada
Unanijua, acha mbwembweNa mm nikuone basi
Nakuja