Anasema miezi 8,
cna mbavu hapaaaah.
Akaulizwa umefaidi nn kwake, eti hakna zaidi ya kuzururishwa zenji, Mombasa, na hotel za kifahari hapq mjini kupiga ulabu,
Nkasema ama kweli upele humuota asiye na kuchaa,
kuna mpemba sahivi ndo yupo mjengoni, kidampa kaachwa solembaaaaa, ila hawa watu sijui wakoje wanabadilisha mnooo.
Hawaogopagi hata, A naye mdomo tyuuh mbna hana lolote sahivi, kachundaa, haha