Selfika na JF: Snap it. Show it

Ameeeeeeeen!!!!!!!
 
Sasa mtu akitaka kukuacha; utamlazimisha aendelee kuwa na wewe? Daah hiyo ndoa yenyewe imedumu kwa muda gani?

Kwa kweli wakae tu kwa kutulia
 
Sasa mtu akitaka kukuacha; utamlazimisha aendelee kuwa na wewe? Daah hiyo ndoa yenyewe imedumu kwa muda gani?

Kwa kweli wakae tu kwa kutulia
Anasema miezi 8, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cna mbavu hapaaaah.
Akaulizwa umefaidi nn kwake, eti hakna zaidi ya kuzururishwa zenji, Mombasa, na hotel za kifahari hapq mjini kupiga ulabu,

Nkasema ama kweli upele humuota asiye na kuchaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mpemba sahivi ndo yupo mjengoni, kidampa kaachwa solembaaaaa, ila hawa watu sijui wakoje wanabadilisha mnooo.

Hawaogopagi hata, A naye mdomo tyuuh mbna hana lolote sahivi, kachundaa, haha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…