[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna mtu alimwambia anafanana na mimi jamani!
Kupenda picha halafu nyumba ya picha kuna li dume lenye midevu kama mimi is so irritating.Wewe tulia tuu! Unapenda picha kwani unapenda mtu?!
Atakuongeza mke wa 4
Shkamoo
Haki ya Nani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]huyo Zed ndiyo yupi huyo?? Mmeniacha kwenye mataa!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nadhani huwa wanachanganya na Zakayo,, yule mwanaume mfupi mtoza ushuru wa kwenye biblia..
Ungejua Mimi wa uswahilini ndanindani huku[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie tatizo wakishua sana
Thanks humble Sakayo, I appreciate your contribution kufanya hii thread kuwa alive.Mependa venye umenyoa!!!
Jioni njema mkuu
Pole sana jamaniKupenda picha halafu nyumba ya picha kuna li dume lenye midevu kama mimi is so irritating.
Baada ya kutokwa na jasho [emoji1787]Ooh nimeshamjua
Karibu sana jamani!Thanks humble Sakayo, I appreciate your contribution kufanya hii thread kuwa alive.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hili nataka likupite
Huwezi kufa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]unataka nife kwa kihoro??
Huwezi kufa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]unataka nife kwa kihoro??
Hebu acheni huo ubuyu tupieni picha hata za meza basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimemjua jamani au hadi nimtaje eti??
My guts zinaniambia una vinasaba vya utumishi pale jumba jeupe
Mtoto mdogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1253874
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atakapo oleka mitala ndio ataeleea ni nani zed [emoji23][emoji23]