Selfika na JF: Snap it. Show it

Kiranga chote komooooo, wazungu hawana maana kabisaa, wala sio wa kuhangaikia michosho tupu. Woiiiiiiiiih.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wapopo nao, ila mie daaah.
Na mpopo [emoji1787] uko na maexperience. Haya nambie na wengine tuchukue tahadhari
 
Namna nyingine ni ipi ?
 
Na mpopo [emoji1787] uko na maexperience. Haya nambie na wengine tuchukue tahadhari
Nataka nimalizie Asians na black Americans, nifunge ukurasaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
European [emoji3581]
Arabs [emoji3581]
Hindian [emoji3581]
Popoans [emoji3581]

Na wa kwetu hawa..

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ah nimeipenda
Madaktari mna umuhimu kwetu sana
Wengine wana huduma nzuri mno wanayoitoa kwa jamii .. kuna paediatrician mmoja namkubali sana that man is humble .. Mungu ambariki kwa kweli .
Hapa kwetu kuna madaktari wazuri mno sema ndio kwa bahati mbaya unaweza kumbana na wasio bora sana kwene hiyo fani ila wazuri wapo.
 
Khaaa [emoji23] kwa mpopo ulivutiwa na nn wee nawe wale kwa utapeli naskia wanaongoza hapa duniani
 
Haikwepeki japo ushauri mzuri sana
Tunajifunza mno kupitia kugoogle mfano kuna situation unaweza pitia hujui cha kufanya , mfano
Postpartum depression kupitia Google unaweza pata ushauri jinsi ya kukibaliana na tatizo .
Mimi huwa nagoogle kiukweli ila kutumia dawa sijinunulii tu lazima nimuone dr. Anachosemea Spider nadhan anasemea wale watu akigoogle akaletewa majibu tofauti na atakayoambiwa na dr mushkeli unaanzia hapo kumbe tunasahau kuna muda google taarifa zinawekwa si zote ni sahihi. Ila mara nyingi inasaidia kutupa mwanga.
 
Khaaa [emoji23] kwa mpopo ulivutiwa na nn wee nawe wale kwa utapeli naskia wanaongoza hapa duniani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alitaka aniparure hela yangu ya vicoba na Upatu, khaaaaah sijui ningeliaje mwenzenu.

Woiiiiiiiiiiiiiiih, siwataki hata kuwasikia sahivi. Lol
 



Inatupa mwanga kwa kweli , Google inatusaidia mno
Ah kubishana kupo ndio .. inabidi healthcare workers waendane na hilo tu ... Hakuna jinsi
 
[emoji1787] pole, kiranga kimekuisha.
Wapopo ni matapeli na majizi makubwaaaa, yaan imagine kaka wa 27yrs. Yaan kheeeeeh yule angenikomba yoteee,. Eti tuanzishe biashara, ipi? Duka la nguo au sallon ya kiume, khaaaah hela yako?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapopo ni nyokooooooh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…