Shida sana mimi huwa nakereka aisee .. huduma ovyo ndo maana watu wanafanya self medication .
Mtu unamuelezea unaumwa vipi hakuamini ..
Vipimo visivyo hitajika ..
Negligence ipo kubwa sana kwa nchi yetu hii
Nilisoma case za huko nje aisee hawataki masihara .. mtu kanywa tu pombe kakuta ina mabaki ya kono kono tayari ameishtaki kampuni ya bia ..