Netball tulifungwa 15 kwa 9 ila tukalipiza kwenye football
Wao Advance ni girls tupu na wanajua netball sio kitoto nasie advance ni boys tupu Vijana tunawapa mazoezi ya football kutosha so walau tulibalance ushungu!!😘