Tumieni bana, mwanaume kunukia ππππππ€£Hatuwezi kutumia hivo vitu sio compatible na miili yetu
Sawa njoo/nifate sehemu sahihi nikufanyie wepesi hilo hitaji lako mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuku nusu na ndizi mbili, na ginger ale ya kushushia.
Nipo mkuu⦠labda tunapishana tuNipo jirani, umepotea kuasi..
Sehemu sahihi ndiyo wapi tenaSawa njoo/nifate sehemu sahihi nikufanyie wepesi hilo hitaji lako mkuu
Watakaosoma hio sentesi ya mwanzo pekee watashtuka sanaOoh sawa⦠nina marinda bana, sijakengeuka sana.
Hiyo yenyewe nikivaa na belt rinda zinatokea maana ni bonge la loose dress.. na fundi hakubania kitenge.
MmmmmmhSehemu sahihi ndiyo wapi tena
Nhebhonagha[emoji2321]Eng'washi bhageshi
Nalemhola sana nkoi
Nagotolela simu odenambokela
WeweWatakaosoma hio sentesi ya mwanzo pekee watashtuka sana
Unaendeleaje na haliπ
Tunataka ile nyingine yenye marinda mengimengiFaraghani ndio wapi? Ilo hapo, ni marinda kimtindo⦠limechanua hatari [emoji28]View attachment 2263920
πππ. Ila kesho weekend, unaweza tu ukakengeuka kidogoOoh sawaβ¦ nina marinda bana, sijakengeuka sana.
Hiyo yenyewe nikivaa na belt rinda zinatokea maana ni bonge la loose dress.. na fundi hakubania kitenge.
Ile mishkaki mitaamu..na kababu.Kuna kile kisehemu ukiwa unataka tu kuingia Tokyo centre, nilikulaga vile vimishkaki, pembeni Wana pilipili na tangawizi na vitunguu swaumu; sijui kupo Bado?
Mbozi vijijiniWapi hiyo
Mi Sijamboβ¦Unaendeleaje na haliπ
Watumie wenye wanaweza kuendana nazo sisi wenye allergies afya ni priorityTumieni bana, mwanaume kunukia ππππππ€£
Safii sana..Mbozi vijijini
Duuh sijabahatika tena kupita pale muda mzuri, ngoja nivizie siku mojaIle mishkaki mitaamu..na kababu.
Kila nikipita lazima nile.
Hapa nilipo sijabadili nguo tokea nimerudiβ¦Tunataka ile nyingine yenye marinda mengimengi